Saturday, August 27, 2011

Ngeli ya Ndege (Aves)

Ngeli ya ndege (Aves)
Ngeli (Class)
Ndege (Bird)

AlbatrosiAlbatross
BataDuck
Bata bukiniGoose
Bata-majiSwan
BatamzingaTurkey
BuabuaTern
Bumu (Babewana)Barn owl
BundiOwl
ChirikuFinch
Chiriku manjanoGoldfinch
DodoDodo
EmuEmu
Flamingo (Heroe)Flamingo
JeiJay
JogooRooster
KadinaliCardinal
KakatuuCockatoo
KangaGuineafowl
KasukuParrot
KasuwariCassowary
KichelekoVulturine guineafowl
KifarangaChick
Kigong'otaWoodpecker
KiluwiluwiLapwing
KingoyoHeron
KinubiMagpie
KiwiKiwi
KizamiachazaOystercatcher
Kolibri (Ndege-mvumaji)Hummingbird
Kondori (Tumbusi wa Amerika)Condor
KongotiStork
KorongoCrane
KoziFalcon
Kuku (Koo)Chicken (Hen)
KunguruCrow (Raven)
KungwiEagle-owl (Great-horned owl)
KurumbizaRobin-chat
Kurumbiza wa UlayaNightingale
KwalePheasant
KwenziStarling
MbayuwayuSwallow
MbuniOstrich
MdiriaKingfisher
MkeshaThrush
Mkesha mwekunduRobin
MwariPelican
NjiwaPigeon
NyanduRhea (Nandu)
PengwiniPenguin
ShomoroSparrow
SikipiPartridge
TaiEagle
TausiPeacock
TelekaSwift
TomboQuail
TukaniToucan
TumbusiVulture
Yombeyombe wa UlayaBullfinch

Zodiaki (The Zodiac)

Zodiaki (Zodiac)

 Hamali
     Kondoo
Aries
 Thauri
     Ng'ombe
Taurus
 Jauza
     Mapacha
Gemini
 Saratani
     Kaa
Cancer
 Asadi
     Simba
Leo
 Nadhifa
     Sumbula
     Mashuke
Virgo
MizaniLibra
 Akarabu
     Nge
Scorpio
 Kausi
     Mshale
Sagittarius
 Jadi
     Mbuzi
Capricorn
 Dalu
     Ndoo
Aquarius
 Hutu
     Samaki
Pisces

Asteroidi (Asteroids)

Asteroidi (Asteroid)
*Note: Ceres (Seresi) is now considered a dwarf planet.

SeresiCeres
PalasiPallas
JunoJuno
VestaVesta
AstreaAstræa
HebeHebe
AirisiIris
FloraFlora
SaikiPsyche
ErosiEros


Tuesday, August 23, 2011

Ng'anda za Karata (Card Suits)

Ng'anda ya karata (Card suit)
Karata za kucheza (Playing cards)

GhulamuJack
Ghulamu wa pauJack of clubs
JokariJoker
MakopaHearts
MalkiaQueen
Malkia wa makopaQueen of hearts
MfalmeKing
Mfalme wa uruKing of diamonds
PauClubs
ReeAce
Ree la shupazaAce of spades
ShupazaSpades
UruDiamonds

Sunday, August 21, 2011

Maumbo ya Kijiometri (Geometric Shapes)

Umbo la kijiometri (Geometric shape)
Umbo (Shape)
Jiometri (Geometry)
-a Kijiometri (Geometric)

DuaraCircle
DuaradufuOval (Ellipse)
Hilali (Mwezi)Crescent
MoyoHeart
MrabaSquare
MsalabaCross
MsambambaRhombus (Diamond)
MshaleArrow
MstariLine
MstatiliRectangle
NusuduaraSemi-circle
NyotaStar
PembenaneOctagon
PembesitaHexagon
PembetanoPentagon
PembetatuTriangle
PeteRing
TengeTrapezoid

Sunday, August 7, 2011

Vijiumbe (Micro-organisms)

Kijiumbe (Micro-organism)

AmibaAmœba
Bakteria (Kijidudu)Bacteria
HamiraYeast
SianobakteriaCyanobacteria
VirusiVirus

Saturday, August 6, 2011

Oda ya Masokwe (Primates)

Oda ya masokwe (Primates)
Sokwe (Ape)
Sokwe mkubwa (Great ape)
Sokwe mdogo (Lesser ape)

BinadamuHuman
GiboniGibbon
KakuMacaque
KimaMonkey
KombaBushbaby
Komba bukini (Lemuri)Lemur
MandiriliMandrill
MbegaColobus
NgagiGorilla
NgedereVervet
NyaniBaboon
OrangutanguOrangutan
SokweApe
Sokwe mtuChimpanzee
TamariniTamarin