Monday, July 4, 2011

Lugha ya Kihawai (The Hawaiian Language)




Kihawai (Hawaiian)
Visiwa vya Hawai (Hawaiian Islands)
Mhawai (a Hawaiian person)
Wahawai (Hawaiian people)

A hui hou. Kwaheri.
ʻAe. Ndiyo
Ahi Moto
Ahiahi Jioni
ʻĀhinahina Kijivu
ʻAinaonao Mla-sisimizi
ʻĀkala Pinki
ʻAlalā Kunguru
ʻAlani Machungwa
Aloha ahiahi. Habari za jioni?
Aloha ʻauinalā. Habari za mchana?
Aloha kakahiaka. Habari za asubuhi?
Aloha. Hujambo?
Aloha. Jambo.
Aloha. Kwaheri.
ʻAlopeke Mbweha mwekundu
ʻAlopeke ʻĀlika Mbweha mweupe
Ao Wingu
ʻAʻole Hapana
ʻAʻole pilikia. Karibu.
ʻApelila Aprili
ʻAuinalā Mchana
ʻAukake Agosti
ʻEhā Nne
ʻEhiku Saba
ʻEiwa Tisa
ʻEkahi Moja
ʻEkolu Tatu
ʻEleʻele Nyeusi
ʻĒleka Elki
ʻElepani Ndovu (Tembo)
ʻElima Tano
ʻElua Mbili
ʻEono Sita
ʻEwalu Nane
Hale Nyumba
Hau Theluji
Hau Barafu
Hāʻule lau Majira ya mavuno
Hauʻoli kēia hui ʻana o kāua. Nimefurahi kukutana nawe.
Heʻe Pweza
Heleʻekela Uranasi
Hiena Fisi
Hipa Kondoo
Hipopokamu Kiboko
Hōkūloa Zuhura
Hōkūʻula Mirihi
Honu Kobe
Honua Dunia
Hoʻoilo Majira ya baridi
Hoʻokahi hanele Mia moja
Iʻa Samaki
Iakeke Jaketi
Ianuali Januari
Iāpule Jumamosi
Ihu Pua
ʻĪlio Mbwa
ʻIlio hae Mbwa-mwitu
ʻĪlio hohono Kicheche
ʻIlioki Pluto
ʻIole Kipanya
Iulai Julai
Iune Juni
Iwakālua Ishirini
Kaʻa Gari
Kaʻa ōhua Taksi
Kaʻaahi Gari la moshi (Garimoshi)
Kaʻāwela Mshtarii
Kahawai Mto
Kaikamahine Msichana
Kakā Bata
Kakahiaka Asubuhi
Kāmano Samoni
Kāmelo Ngamia
Kanahā Arobaini
Kanahiku Sabini
Kanaiwa Tisini
Kanakalū Kangaruu
Kanakolu Thelathini
Kanalima Hamsini
Kanaono Sitini
Kanawalu Themanini
Kāne Mwanamke
Kao Mbuzi
Kau wela Majira ya joto
Kehaka Melesi
Keiki Mtoto
Keikikāne Mvulana
Kēkake Punda
Kekemapa Desemba
Keko (mākinikā) Kima (Tumbiri)
Kelokokile Mamba (Ngwena)
Keʻokeʻo Nyeupe
Kepakemapa Septemba
Kepela Punda-milia
Chai
Kia Kulungu
Kika Chui-milia
Kikonia Kongoti
Kilape Twiga
Kiulela Kindi
Koholā Nyangumi
Kōpaʻa Sukari
Kope Kahawa
Koukā Puma
Kuapo Mkanda
Kueka Sweta
Kupulau Majira ya machipuko
Jua
Lāʻau Mti
Laehaokela Kifaru
Lanalana Buibui
Lāpaki Kitungule
Leinekia Kulungu aktiki
Leopaki Chui
Lepu Sungura
Liʻiliʻi  -Dogo
Lima Mkono
Lineka Linksi
Lio Farasi
Liona Simba
Lole wāwae Suruali
Mahalo. Asante.
Mahina Mwezi
Maikaʻi nō au. Mimi mzima.
Maka Jicho
Makani Upepo
Makulu Zohali
Malaki Machi
Manaʻo nani. Usiku mwema.
Manaʻo nani. Lala salama.
Manō Papa
Manu Ndege
Manu ʻioʻio Korongo
Mauna Mlima
Mei Mei
Melalemu Slothi
Melemele Manjano
Meli Nyuki
Mikilima Glavu
Moa Kuku
Moe Kitanda
Mokulele Ndege (Eropleni)
Naheka Nyoka
Nāwale Narwali
Nēnē Bata bukini
Nepekune Neptuni
Noho Kiti
Nokekula Bata-maji
Nowemapa Novemba
Nui  -Kubwa
ʻO Ioane koʻu inoa. Ninaitwa Yohana.
ʻO wai kou inoa? Unaitwaje?
Ōka Orka
Okakopa Oktoba
ʻOkekelika Mbuni
ʻOle Sifuri
ʻŌmaʻomaʻo Kijani
ʻOpakuma Oposumu
ʻŌpeʻapeʻa Popo
Pahi Kisu
Pākaukau Meza
Palamineko Flamingo (Heroe)
Palaoa Mkate
Palatipusa Kinyamadege
Palaunu Kahawia
Pāpale Kofia
Papuna Nyani
Pea (Bea) Dubu
Pea ʻĀlika (Bea ʻĀlika) Dubu barafu
Pehea ʻoe? Habari gani?
Pelehū Batamzinga
Pelūka Beluga
Penekuine Pingwini
Pēpē Mtoto mchanga
Pepeiao Sikio
Pepeluali Februari
Pīkake Tausi
Pipi Ng'ombe
Pipi kauō ʻĀlika Maksaimaski
Piwa Biva
Usiku
Pōʻahā Jumatano
Pōʻakahi Jumapili
Pōʻakolu Jumanne
Pōʻalima Alhamisi
Pōʻalua Jumatatu
Pōʻaono Ijumaa
Poho Kiganja
Poloka Chura
Pololia Yavuyavu
Polū Buluu
Polū halakea Samawati
Poni Zambarau
Poʻo Kichwa
Pōpoki Paka
Puaʻa Nguruwe
Puaʻa ōkalakala Nungunungu
Puki Buti
Pulelehua Kipepeo
Sila Sili
Ua Mvua
Ukalialiʻi Zebaki
ʻUlaʻula Nyekundu
ʻUmi Kumi
Waha Kinywa
Wahine Mwanamume
Wai Maji
Waina Divai (Mvinyo)
Waiūpaʻa Jibini
Waiūpaka Siagi
Waleluka Walarasi
Wāwae Mguu
Wāwae Mguu (Kiing: Foot)
Woleweline Wolverini