kubadili (v.t. to change)
kubadilika (v.i. to change [of its own accord]; to transform; to mutate)
Kwa mfano, mwanamume alibadili jina la mwanawe kuwa Abrahamu.
For example, the man changed his son's name to Abraham.
mabadiliko (changes; alterations; transformation)
mabadiliko ya chembe za urithi (mutation; lit. changes of the genetic cells)
mabadiliko jeni (gene mutation; lit. gene changes)
aliyebadilika-jeni (mutant; lit. one who changed by [his] genes)
Aliyebadilika-jeni ni neno linalorejelea kiumbe ambaye chembe zake za urithi zimebadilika. Kwa mfano, kambamti wenye chembe za urithi zilizobadilika huweza kuwa na rangi ya buluu badala ya kuwa na rangi yake nyekundu ya asili.
Mutant is a word that refers to a creature whose genetic cells have changed. For example, a mutant lobster can have a blue color instead of having its natural red color.
mwenye jeni-X (a Marvel mutant; lit. a possessor of the X-gene)
kioja (an oddity; an anomaly; something marvellous; something astonishing)
aliyebadilishwa-jeni (a mutate; lit. one whose genes were changed / one who was changed by the genes)
kiumbe mwenye uwezo unaozidi ule wa wanadamu (a superhuman; lit. a creature with abilities that exceed those of humans)
nguvu zinazozidi zile za wanadamu (superhuman powers; lit. powers that exceed those of humans)
asiyebinadamu (an inhuman)
taifa la chini (sub-race)
kurithiwa (to be inherited)
Hata hivyo, mtu mwenye jeni-X ulimwenguni mwa Marvel ni aina ya kiumbe mwenye chembe za urithi zilizobadilika ambaye hujitokeza katika komiki za bunilizi ya kisayansi, kama vile Watu-X, na ambaye alizaliwa akiwa na jeni-X isababishayo mabadiliko hayo ya chembe zao za urithi. Katika ulimwengu wa Marvel Comics, istilahi ya aliyebadilishwa-jeni (mutate) inayorejelea kiumbe ambaye chembe zake za urithi zimebadilishwa ili awe na uwezo unaozidi ule wa wanadamu, tofauti na waliobadilika-jeni, wasiobinadamu na mataifa mengine ya chini ya ubinadamu ambayo mabadiliko yao ya urithi hurithiwa.
However, a Marvel mutant is a type of mutant who appears in science fiction comics, such as The X-Men, and who is born with the X-gene which causes this mutation of theirs. In the Marvel Comics universe, the term mutate refers to a creature whose genetic cells have been changed to become superhuman, as opposed to mutants, inhumans and other sub-races of humanity whose genetic alterations are inherited.
mageuzi ya spishi (evolution)
dubwana la mfukoni (pocket monster)
metamofosisi (metamorphosis)
takwimu (statistic)
tajriba (experience)
ya kutosha (enough)
Mageuzi ya spishi ya dubwana la mfukoni ni mabadiliko ghafla ya umbo ambayo ni ya kufanana na metamofosisi kuliko mageuzi halisi ya spishi inayoandamana na kuongezeka kwa idadi ya takwimu; hii inaweza tu kutokea iwapo kiumbe amepata pointi za tajriba za kutosha.
Evolution of a pocket monster is a sudden change in form which is more akin to a metamorphosis than actual evolution accompanied by an increase in statistical values; this only can occur once the creature has gained enough experience points.
mbadilisha-umbo (shape-shifter)
Wabadilisha-umbo ni viumbe wenye uwezo wa kujibadilisha na kubadilisha umbo lao na kuwa watu wengine, wanyama na hata vitu vingine. Mbadilisha-umbo maarufu zaidi ni Mistiki kutoka Watu-X.
Shape-shifters are creatures with the ability to transform and change their shape into other people, animals and other objects. The most famous shape-shifter is Mystique from the X-Men.
kubadilika (v.i. to change [of its own accord]; to transform; to mutate)
kubadilisha (v.t. to [cause to] change; to transform; to mutate; to alter)
kujibadilisha (ref. to transform oneself)
For example, the man changed his son's name to Abraham.
mabadiliko (changes; alterations; transformation)
mabadiliko ya chembe za urithi (mutation; lit. changes of the genetic cells)
mabadiliko jeni (gene mutation; lit. gene changes)
aliyebadilika-jeni (mutant; lit. one who changed by [his] genes)
Aliyebadilika-jeni ni neno linalorejelea kiumbe ambaye chembe zake za urithi zimebadilika. Kwa mfano, kambamti wenye chembe za urithi zilizobadilika huweza kuwa na rangi ya buluu badala ya kuwa na rangi yake nyekundu ya asili.
Mutant is a word that refers to a creature whose genetic cells have changed. For example, a mutant lobster can have a blue color instead of having its natural red color.
mwenye jeni-X (a Marvel mutant; lit. a possessor of the X-gene)
kioja (an oddity; an anomaly; something marvellous; something astonishing)
aliyebadilishwa-jeni (a mutate; lit. one whose genes were changed / one who was changed by the genes)
kiumbe mwenye uwezo unaozidi ule wa wanadamu (a superhuman; lit. a creature with abilities that exceed those of humans)
nguvu zinazozidi zile za wanadamu (superhuman powers; lit. powers that exceed those of humans)
asiyebinadamu (an inhuman)
taifa la chini (sub-race)
kurithiwa (to be inherited)
Hata hivyo, mtu mwenye jeni-X ulimwenguni mwa Marvel ni aina ya kiumbe mwenye chembe za urithi zilizobadilika ambaye hujitokeza katika komiki za bunilizi ya kisayansi, kama vile Watu-X, na ambaye alizaliwa akiwa na jeni-X isababishayo mabadiliko hayo ya chembe zao za urithi. Katika ulimwengu wa Marvel Comics, istilahi ya aliyebadilishwa-jeni (mutate) inayorejelea kiumbe ambaye chembe zake za urithi zimebadilishwa ili awe na uwezo unaozidi ule wa wanadamu, tofauti na waliobadilika-jeni, wasiobinadamu na mataifa mengine ya chini ya ubinadamu ambayo mabadiliko yao ya urithi hurithiwa.
However, a Marvel mutant is a type of mutant who appears in science fiction comics, such as The X-Men, and who is born with the X-gene which causes this mutation of theirs. In the Marvel Comics universe, the term mutate refers to a creature whose genetic cells have been changed to become superhuman, as opposed to mutants, inhumans and other sub-races of humanity whose genetic alterations are inherited.
mageuzi ya spishi (evolution)
dubwana la mfukoni (pocket monster)
metamofosisi (metamorphosis)
takwimu (statistic)
tajriba (experience)
ya kutosha (enough)
Mageuzi ya spishi ya dubwana la mfukoni ni mabadiliko ghafla ya umbo ambayo ni ya kufanana na metamofosisi kuliko mageuzi halisi ya spishi inayoandamana na kuongezeka kwa idadi ya takwimu; hii inaweza tu kutokea iwapo kiumbe amepata pointi za tajriba za kutosha.
Evolution of a pocket monster is a sudden change in form which is more akin to a metamorphosis than actual evolution accompanied by an increase in statistical values; this only can occur once the creature has gained enough experience points.
mbadilisha-umbo (shape-shifter)
kugeuza (v.t. to change)
kugeuka kuwa (to turn into)