Friday, May 27, 2011
Thursday, May 26, 2011
Nyangumi (Whale)
Nyangumi mwenye mfupanyangumi (Baleen whale)
Nusuoda ya nyangumi wakubwa (Mysticeti)
Nusuoda ya nyangumi wakubwa (Mysticeti)
Bamba la kuzuia maji | Splashguard |
Kitovu | Umbilicus |
Kwapa | Axilla |
Mashimo ya kutolea hewa | Blowholes |
Mfupanyangumi | Whalebone (Baleen) |
Mifuo ya koo | Throat pleats |
Mkato wa kati | Median notch |
Mkia wa nyangumi | Fluke |
Mkundu | Anus |
Nundu za mgongoni | Dorsal ridge |
Pezi la mgongoni | Dorsal fin |
Pua | Rostrum |
Shina la mkia | Caudal peduncle |
Ufa wa ogani za uzazi na mkojo | Urogenital slit |
Vikono | Flippers |
Viwele | Mammary glands |
Kinyamadege (Platypus)
Kinyamadege (Duckbilled platypus) ni mamalia Australia aliye na mdomo wa bata, miguu yenye utando kati vidole kama ya fisi-maji na mkia kama wa biva. Ni mmoja wa spishi mbili za mamalia atagaye mayai.
Manyoya ya kahawia | Brown fur |
Mdomo wa bata | Duckbill |
Miguu yenye utando kati ya vidole | Webbed feet |
Mwiba mwenye sumu | Venomous spike |
Nyufa ndogo za masikio | Tiny ear slits |
Tundu za pua ziwezazo kufungwa | Closeable nostrils |
Wednesday, May 25, 2011
Elki / Muusi (Moose)
Elki au Muusi (pia huitwa Kongoni wa Kaskazini) ni mnyama mkubwa wa Nusudunia ya Kaskazini anayefanana na kongoni mwenye pembe zenye umbo la matawi na manyoya mengi.
Kichwa kikubwa | Large head |
Makwato ya shufwa | Even-toed hooves |
Miguu mirefu ya mbele | Long forelegs |
Miguu mirefu ya nyuma | Long hindlegs |
Mkia mfupi | Short tail |
Nundu ya bega | Shoulder hump |
Pembe zenye umbo la matawi | Ramified antlers |
Pua inayoning'inia | Drooping muzzle |
Shambwelele | Dewlap |
Tuesday, May 24, 2011
Muundo wa Seli ya Mmea (The Structure of a Plant Cell)
Muundo wa seli ya mmea (The structure of a plant cell)
Chembe cha wanga | Starch granule |
Dutuvuo (Mitokondria) | Mitochondrion |
Kiini | Nucleus |
Kiini kidogo | Nucleolus |
Kitone cha asidi za shahamu | Lipid droplet |
Kitundu | Pore |
Kiungo cha lamela za kati | Compound middle lamella |
Kloroplasti | Chloroplast |
Lamela ya kati | Middle lamella |
Lukoplasti | Leucoplast |
Nafasi kati ya seli | Intercellular space |
Oganeli | Organelle |
Oganeli ya Golgi | Golgi apparatus |
Peroksisomu | Peroxisome |
Plazmodesma | Plasmodesma |
Retikulamu laini ya utegili wa ndani | Smooth endoplasmic reticulum |
Retikulamu ya kukwaruza ya utegili wa ndani | Rough endoplasmic reticulum |
Ribosomu | Ribosome |
Seli ya mmea | Plant cell |
Ukuta wa seli | Cell wall |
Ukuta wa seli wa msingi | Primary sell wall |
Utando wa kiini | Nuclear envelope |
Utando wa seli | Cell membrane |
Utegili wa nje | Ectoplasma |
Utegili wa seli | Cytoplasm |
Vakuoli | Vacuole |
Maumbo ya Majani (Shapes of Leaves)
Maumbo ya Majani (Shapes of Leaves)
Umbo la figo | Reniform |
Umbo la kiganja | Palmate |
Umbo la klova | Trifoliolate |
Umbo la mkuki | Lanceolate |
Umbo la moyo | Cordate |
Umbo la mshale | Hastate |
Umbo la mstari | Linear |
Umbo la mviringo | Orbiculate |
Umbo la mwiko | Spatulate |
Umbo la ngao | Peltate |
Umbo la unyoya | Pinnatifid |
Umbo la unyoya shufwa | Even-pinnate |
Umbo la unyoya witiri | Odd-pinnate |
Umbo la yai | Ovate |
Monday, May 23, 2011
Friday, May 20, 2011
Sura za Mwezi (Phases of the Moon)
Sura ya mwezi (Moon phase)
Kufifia kwa mwezi | Waning gibbous |
Kufifia kwa mwezi mwandamo | Waning crescent |
Kupevuka kwa mwezi | Waxing gibbous |
Kupevuka kwa mwezi mwandamo | Waxing crescent |
Mwezi mchanga | New moon |
Mwezi mpevu | Full moon |
Mwezi mwandamo | Crescent moon |
Mwezi mwandamo wa mwisho | Old crescent |
Mwezi ndani (Robo la mwisho) | Last quarter |
Mwezi nje (Robo la kwanza) | First quarter |
Nusu-mwezi | Half moon |
Wednesday, May 18, 2011
Hali ya Hewa (Weather)
Hali ya hewa (Weather)
Dhoruba | Storm |
Hali ya hewa ni nzuri. | The weather is nice. |
Jua kali. | It's sunny. |
Kumetanda. | It's overcast. |
Kuna manyunyu. | It's drizzling. |
Kuna mawingu. | It's cloudy. |
Kuna mvua ya radi. | There's a thunderstorm. |
Kuna theluji inadondoka. | It's snowing. |
Kuna upepo. | It's windy. |
Mvua inanyesha. | It's raining. |
Mwezi | Moon |
Tufani | Tornado |
Upinde wa mvua | Rainbow |
Tuesday, May 17, 2011
Aina za Mkate (Types of Bread)
Aina za mkate (Types of bread)
Mkate (Bread)
Mkate (Bread)
Bageli | Bagel |
Fimbo za mkate | Breadsticks |
Kinyunya ujeya | Phyllo dough |
Krwasani | Croissant |
Mikate midogo | Bread rolls |
Mkate mgumu wa Kiskandinavi | Scandinavian cracked bread |
Mkate mgumu wa rai | Cracked rye bread |
Mkate mweupe | White bread |
Mkate mweusi wa Kirusi | Russian pumpernickel |
Mkate mweusi wa rai | Black rye bread |
Mkate usiotiwa hamira | Unleavened bread |
Mkate wa Kieire | Irish bread |
Mkate wa Kifaransa | French bread (Baguette) |
Mkate wa Kigiriki | Greek bread |
Mkate wa Kihindi | Indian naan bread |
Mkate wa Kiingereza | English bread |
Mkate wa mhindi | Cornbread |
Mkate wa mtindi | Buttermilk bread |
Mkate wa nafaka zisizokobolewa | Multigrain bread |
Mkate wa rai | Rye bread |
Mkate wa rai wa Kidachi | German rye bread |
Mkate wa rai wa Kideni | Danish rye bread |
Mkate-hala | Hallah bread |
Mkate-pita | Pita bread |
Skonzi | Biscuit (Scone, Roll) |
Tortila (Chapati ya mhindi) | Tortilla |
Aina za Viungo (Types of Spices)
mrihani; mrehani (basil)
majani ya mbei (bay leaves)
densi; dili (dill)
majorama (marjoram)
sage /seji/; aina ya mnanaa ulio majani yenye rangi ya kijani-kijivu (sage)
ufuta; uto; simsim (sesame)
basibasi (mace)shamari (fennel)
kotimiri (parsley)
taragoni (tarragon)
rosmeri; halwaridi (rosemary)
zaatari wa mwitu; majorama wa mwitu; majorama mtamu (oregano)
zaatari wa kawaida; thaimu (thyme)
Bizari | Curry powder |
Dalasini | Cinnamon |
Haradali nyeupe | White mustard |
Haradali nyeusi | Black mustard |
Manjano | Turmeric |
Iliki | Cardamom |
Jira | Cumin |
Karafuu | Clove |
Kisibiti | Caraway |
Kungumanga | Nutmeg |
Masala | Masala |
Mbegu za mpopi | Poppy seeds |
Pilipili iliyosagwa | Ground pepper |
Pilipili kali | Chili pepper |
Pilipili manga | Black pepper |
Pilipili mbuzi | Paprika |
Pilipili nyeupe | White pepper |
Pilipili ya Jamaika | Allspice |
Pilipili ya kijani | Green pepper |
Pilipili ya pinki | Pink pepper |
Pilipili zilizookwa | Dried chiles |
Pilipili zilizopondwa | Crushed chiles |
Pilipili-halapenyo | JalapeƱo pepper |
Reteni | Juniper berry |
Tangawizi | Ginger |
Udaha | Cayenne pepper |
Unga wa viungo vitano | Five spice powder |
Uwatu | Fenugreek |
Viungo vya Kikajuni | Cajun seasoning |
Zafarani | Saffron |
Matunda ya Tropiki (Tropical Fruits)
Tunda la tropiki (Tropical fruit)
Cherimoya | Cherimoya |
Duriani | Durian |
Embe | Mango |
Feijoa | Feijoa |
Fenesi | Jackfruit |
Gakachika* | Horned melon |
Gulabi | Lychee |
Izu (Ndovi) | Plantain |
Jabotikaba (Zabibu ya Brazili) | Jaboticaba |
Joho | Persimmon |
Kinyomoro* | Tamarillo |
Kiwi | Kiwi |
Komamanga | Pomegranate |
Kunazi | Jujube |
Kuyu | Fig |
Longyani | Longan |
Mangostana | Mangosteen |
Nanasi | Pineapple |
Ndizi | Banana |
Papai | Papaya |
Pasheni | Passion fruit |
Pea la Asia | Asian pear |
Pera | Guava |
Pungate | Prickly pear |
Sapodila | Sapodilla |
Shelisheli | Breadfruit |
Shokishoki | Rambutan |
Tango tamu | Pepino |
Tunda-nyota | Starfruit |