Kinyamadege (Duckbilled platypus) ni mamalia Australia aliye na mdomo wa bata, miguu yenye utando kati vidole kama ya fisi-maji na mkia kama wa biva. Ni mmoja wa spishi mbili za mamalia atagaye mayai.
| Manyoya ya kahawia | Brown fur | 
| Mdomo wa bata | Duckbill | 
| Miguu yenye utando kati ya vidole | Webbed feet | 
| Mwiba mwenye sumu | Venomous spike | 
| Nyufa ndogo za masikio | Tiny ear slits | 
| Tundu za pua ziwezazo kufungwa | Closeable nostrils | 

No comments:
Post a Comment