mrihani; mrehani (basil)
majani ya mbei (bay leaves)
densi; dili (dill)
majorama (marjoram)
sage /seji/; aina ya mnanaa ulio majani yenye rangi ya kijani-kijivu (sage)
ufuta; uto; simsim (sesame)
basibasi (mace)shamari (fennel)
kotimiri (parsley)
taragoni (tarragon)
rosmeri; halwaridi (rosemary)
zaatari wa mwitu; majorama wa mwitu; majorama mtamu (oregano)
zaatari wa kawaida; thaimu (thyme)
Bizari | Curry powder |
Dalasini | Cinnamon |
Haradali nyeupe | White mustard |
Haradali nyeusi | Black mustard |
Manjano | Turmeric |
Iliki | Cardamom |
Jira | Cumin |
Karafuu | Clove |
Kisibiti | Caraway |
Kungumanga | Nutmeg |
Masala | Masala |
Mbegu za mpopi | Poppy seeds |
Pilipili iliyosagwa | Ground pepper |
Pilipili kali | Chili pepper |
Pilipili manga | Black pepper |
Pilipili mbuzi | Paprika |
Pilipili nyeupe | White pepper |
Pilipili ya Jamaika | Allspice |
Pilipili ya kijani | Green pepper |
Pilipili ya pinki | Pink pepper |
Pilipili zilizookwa | Dried chiles |
Pilipili zilizopondwa | Crushed chiles |
Pilipili-halapenyo | Jalapeño pepper |
Reteni | Juniper berry |
Tangawizi | Ginger |
Udaha | Cayenne pepper |
Unga wa viungo vitano | Five spice powder |
Uwatu | Fenugreek |
Viungo vya Kikajuni | Cajun seasoning |
Zafarani | Saffron |
oregano/thyme inaitwaje?
ReplyDeleteTumia vilivyoandikwa tayari ah! Kwa nini unataka kuleta shida jamani?
DeleteMay 13 2020 zipeleke stress zako kwingine iblisi wewe!
Deletehaha vichekesho jamani
DeleteMajorama aniu,kuna pia majorama mwitu,hata ingawa swali lako limekawia sana hapa natumai nimekujibu
Deletestar anise??
DeleteStar anse kwa kiswahili ni vinyota
DeleteHabari naomba utwambie majina ya viungo vya chai na vyachakula kiundani zaidi
DeleteNice translations spices English to swahili language I like
Delete"thyme" ni thaimu, na "oregano" ni oregano.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteWhat is the alternative of oregano? Suppose I don't have oregano and I need to use another spice instead.. Kiswahili siijui na sijui ni spice ipi hiyo.
Deleteoregano / thyme in swahili inaitwa Zaatar au zaatari
DeleteAsante .... this is very helpful!
ReplyDeleteSuburi translate in english plz
ReplyDeleteSubur ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni Mshubiri
DeleteMimi nahitaji kujua bay leaves kwa Kiswahili
DeleteFennel seed kwa kiswahili
DeleteOregano ni nini kwa kiswahili
ReplyDeleteoregano / thyme in swahili inaitwa Zaatar au zaatari
DeletePandan leaves in Swahili please. Can't find the meaning.
ReplyDeleteFennel seed in Swahili tafadhali
ReplyDeleteFennel Seed in Swahili Mbegu za shamari
DeleteNaweza kupata wapi mbegu za shamari?
DeleteShamari
DeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteSorry, I meant Bizari tamu NOT Bizari mzima. I'm sorry for that!!
ReplyDeleteWhat is abarsoda in english?
ReplyDeleteBlackseeds
DeleteHabatsooda
DeleteBlack Seeds... Habat Sawda
DeleteWhat is Tumeric in kiswahili and where can I find it?
ReplyDeleteTurmeric is manjano and if you are in Dar es Salaam you will easily find it in Kariakoo
DeleteKariakoo sokoni in dar es salaam
DeleteMarikiti in Nairobi....
Looks like ginger but yellow :)
Tumeric in kiswahili inaitwa hawaji. You can find it in any local market or even most supermarkets.
DeleteAcha hizo
DeleteTurmeric in Swahili is called kuwahi go to any local market
ReplyDeleteTurmeric in Swahili is called kuwahi go to any local market
ReplyDeletesio binzari manjano
DeleteNdio hiyo
DeleteThank youuuuu
ReplyDeleteTurmeric ni manjano
ReplyDeleteBay leaves nini
ReplyDeleteJust asking there is different between MANJANO and BINZARI YA NJANO
ReplyDeletePlease nisaidieni ku elewa.
What's Mint, lavender, vanilla in Swahili
ReplyDeleteWhat is star anis in swahili
ReplyDeleteManjano na bizari ya njano c tofauti kwani bizari ya njano ndo inatokana na manjano
ReplyDeleteManjano na bizari ya njano c tofauti kwani bizari ya njano ndo inatokana na manjano
ReplyDeleteHaaaaaah......haaaaah
DeleteSamahani hivi pilipili baridi ni ipi na ipoje?
ReplyDeleteRosemary yaitwaje in swahili?
ReplyDeleteAsanti na pongezi kwa kujuvisha majina tofauti ya viungo kwa Lugha ya Kiswahil.
ReplyDeleteMaana ya bay leaves kwa kiswahili na yanapatikana wapi
ReplyDeletepandan leaves yanaitwaje?
ReplyDeleteMint leaves inaitwaje
ReplyDeleteMajani ya puddina
DeleteMnaanaa
Deleteuziza seed what is it called in swahili
ReplyDeletefennel seeds what is it called in swahili
ReplyDeleteShimari
DeleteNoma sana
DeleteMarjoram,sage na saltpetre zinafahamikaje/itwaje kwa kiswahili na zinapatikana wapi in dar es salaam pia pamoja na mbegu na powder za mustard natanguliza shukran asante sana
ReplyDeleteMarjoram,sage na saltpetre zinafahamikaje/itwaje kwa kiswahili na zinapatikana wapi in dar es salaam pia pamoja na mbegu na powder za mustard natanguliza shukran asante sana
ReplyDeleteKariakoo utapata ndugu
DeleteMie nauza viungo vyote kwa ataehitaji anichek kwa namba 0677980873 napatikana dar es salaam tabata
DeleteBay leaves in swahili?
ReplyDeleteFunnel in swahili please?
ReplyDeleteThanks in detail, you help me a lot.
ReplyDeleteWhat is sage, dill, sesame and asafoetida in Swahili?
ReplyDeleteDill is yamani yamani, sesame is simsim and asafoetida ni mvuje
DeleteSesame ni ufuta kwa kiswahili, mengineyo utajoju mdau.
DeleteCumin inaitwaje kwa Kiswahili na inapatikana wapi
DeleteMie nauza viungo vyote vya chakula namba yangu ni 0677980873 endapo utahitaji napatikana dar es salaam tabata.natuma kote.
DeleteNaomba nijuze garam ni nini kwa kiswahili?
ReplyDeleteBasil in kiswahili
ReplyDeleteThanks,,, kwa kazi nzuri ya majina ya viungo in Swahili and English 🙏
ReplyDeleteJina lingine la bizari, ni lipi?
ReplyDeleteChamomile na basil yaitwaje Kiswahili?
ReplyDeleteBay leaf kwa kiswahili msaada apo plz
ReplyDeleteAsante kwa maelezo mema.sasa najua tumeric
ReplyDeleteGood job �� �� , Asante
ReplyDeleteNaomba Mnambie anise seed kwa lugha ya kiswahili
ReplyDeleteHata Mimi nataka nifahamu anise seed kwa kiswahili,na zinapatikana wapi?
DeleteNatafuta mchofua uchawi image yake na pili pili manga
ReplyDeleteBay leaves in swahili??
ReplyDeleteMaisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma
ReplyDeleteKwaheri Gerd Ulrich
Aki ukistaajabu ya mussa utayapa ya firaun Kwel page imeingiliwa watu tupo kwenye viungo ma tumeric ma binzar unatuletea kurudisha mapenz kwann usirudshe akil zako kwenye zimepotelea
DeleteHaaaaaah.....haaaaaah
DeleteRutabaga in swahili
ReplyDeletewhat is allegator pepper in kiswahili
ReplyDeleteHi. Star anise in swahili please. For those that knows.
ReplyDeleteMatumizi kwa ujumla tuna weka wapi na wapi
ReplyDeleteCarrom seed ni nini kwa kiswahili tafadhali msaada
ReplyDeleteMi nafaham inaitwa ajwain ila kwa kiswahili huwa wanaiita mbegu za karom naiuza mie dukani kwangu kama utahitaji nichek 0677980873 nipo dar es salaam tabata. Natuma kote.
DeleteAsanteni sana kwa kazi mzuri, mm nataka kujuwa majina haya..Manemane,Kuzbara,Haulinjani,Annie suni,Bunsaji..Kwa leo ni haya..
ReplyDeleteAhsanteni
ReplyDeleteSikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
ReplyDelete*penda uchawi
* kama unataka ex wako nyuma
* Acha talaka
*kuvunja mawazo
* huponya viharusi na magonjwa yote
* uchawi wa ulinzi
*Ugumba na matatizo ya ujauzito
Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
Whatsapp: +2349046229159
Thanks
ReplyDelete