Showing posts with label
Mitholojia (Mythology)
.
Show all posts
Showing posts with label
Mitholojia (Mythology)
.
Show all posts
Wednesday, August 27, 2014
Uranasi (Uranus)
›
Uranasi (Uranus) Uranasi alikuwa mungu Mgiriki wa mbingu. Mwenzi wake wa Kirumi alikuwa Caelus . Katika fasihi ya Ugiriki Mkongwe, Ur...
Demita (Demeter)
›
Demita (Kiing.: Demeter ; Kigir.: Δήμητρα "Dḗmētra" ) Demita ni mungu-jike wa mavuno ambaye hudhibiti nafaka na uoto wa ...
Tuesday, August 26, 2014
Hera (Hera)
›
Hera (Hera; Kigir.: Ήρη "Ḗrē" ) / Juno (Juno; Kilat.: Iuno ) Hera ni mke na mojawapo wa dada wa Zeu katika dini na mithol...
1 comment:
Poseidoni (Poseidon)
›
Poseidoni (Poseidon; Kigir.: Ποσειδώνας "Poseidṓnas" ) / Neptuni (Neptune; Kilat.: Neptūnus ) Poseidoni ni mojawapo wa Wa...
Hestia (Hestia)
›
Hestia (Hestia; Kigir.: Εστία "Hestía" ) Katika dini ya Ugiriki Mkongwe, Hestia ni mungu-jike wa bikira wa meko, usanifu m...
Zeu (Zeus)
›
Zeu (Zeus) (Kigir.: Ζευς or Δίας "Zeus / Días", Kilat.: Iuppiter) Zeu ni "baba wa miungu na binadamu" ambaye hut...
2 comments:
Afrodaiti (Aphrodite)
›
Afrodaiti (Aphrodite) Afrodaiti ni mungu-jike Mgiriki wa upendo, urembo na ngono. Mwenzi wake wa Kirumi ni Venusi. Kulingana na Theog...
Apolo (Apollo)
›
Apolo (Apollo) Apolo ni mojawapo wa miungu muhimu zaidi wa Olimpo katika dini na mitholojia ya Kigiriki na ya Kirumi. Apolo ni mu...
Theogonia (The Theogony)
›
Mungu (God) Mungu-jike (Goddess) Mwolimpo, Waolimpo (Olympian, Olympians) Mungu wa Olimpo (Olympian God) Kiolimpo (Olympic) ...
1 comment:
Huntha (Hermaphrodites)
›
Huntha (Hermaphrodite) Huntha ni mtu aliyezaliwa na viungo vya uzazi vya kiume na vya kike pamoja. A hermaphrodite is person born wi...
Monday, October 8, 2012
Nimfi (Nymphs)
›
Nimfi (Nymph / Nymphs) Nimfi katika mitholojia ya Kigiriki ni mungu mdogo wa kike wa mazingira mwenye kufanana na hurulaini ambao huis...
Wednesday, November 9, 2011
Gaya (Gaea)
›
Gaya (Kiing.: Gaea; Kigir.: Γαία "Gaía" ) Tera (Kiing. & Kilat.: Terra au Tellus ) Mungu mke wa Dunia (Goddess of the E...
›
Home
View web version